Mto Engare Olmotoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Engare Olmotoni ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini). Mto huo unakatiza katikati ya soko lililopo Ngaramtoni.

chanzo cha mto huu ni katika kilele cha mlima Meru kinachoitwa Nadung'oro iliyogawanyika na mto Lemanda inayokatiza katika maeneo ya Oldonyosambu na kijiji cha Oldonyowasi. Mito hii huungana eneo linaloitwa Ogilai huko Ketumbeine.

Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]