Mkoa wa Uşak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:24, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q483078 (translate me))
Mkoa wa Uşak
Maeneo ya Mkoa wa Uşak nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Aegean
Eneo: 5,341 (km²)
Idadi ya Wakazi 334,115 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 64
Kodi ya eneo: 0{{{kodi_ya_eneo}}}
Tovuti ya Gavana http://www.usak.gov.tr/
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/uşak


Uşak (kutoka Uşşak maanake "wapenzi") ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini magharibi mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Manisa kwa upande wa magharibi, Denizli kwa upande wa kusini, Afyon kwa upande wa mashariki, ana Kütahya kwa upande wa kaskazini. Mji wake mkuu ni Uşak. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 5,341 na una idadi ya wakazi wapatao 334,115 (makisio ya 2007). Kwa mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 322,313.

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Uşak umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje