Mkoa wa N'zi-Comoé
Mandhari
Mkoa wa N'zi-Comoé |
|
Mahali pa Mkoa wa N'zi-Comoé katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 7°15′N 4°10′W / 7.250°N 4.167°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 8 |
Mji mkuu | Dimbokro |
Eneo | |
- Jumla | 19.480 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 633.922 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa N'zi-Comoé (kwa Kifaransa: Région du N'zi-Comoé) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011.
Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 633.922. [1]
Kuna tarafa nane ambazo ni
- Arrah,
- Bocanda,
- Bongouanou,
- Daoukro,
- Dimbokro,
- M'Bahiakro,
- M'Batto,
- Prikro.
Makao makuu yako Dimbokro.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa N'zi-Comoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |