Mkoa wa Lacs
Mandhari
Mkoa wa Lacs |
|
Mahali pa Mkoa wa Lacs katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 6°50′N 5°10′W / 6.833°N 5.167°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Yamoussoukro |
Eneo | |
- Jumla | 8.663 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 476.173 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Lacs (kwa Kifaransa: Région des Lacs) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kitovu cha nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 476.173. [1]
Kuna tarafa tano ambazo ni
Makao makuu yako Yamoussoukro.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lacs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |