İzmit : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: th:อิซมิต
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza uk:Ізміт
Mstari 60: Mstari 60:
[[tr:İzmit]]
[[tr:İzmit]]
[[udm:Измит]]
[[udm:Измит]]
[[uk:Ізміт]]
[[vi:İzmit]]
[[vi:İzmit]]
[[war:İzmit]]
[[war:İzmit]]

Pitio la 08:45, 20 Mei 2012

İzmit ni mji wa Uturuki. Upo katikati ya Mkoa wa Kocaeli na vilevile ni Manispaa ya Kocaeli. Uko katika Ghuba ya İzmit (zamani walii Ghuba ya Astacus) kwenye Bahari ya Marmara, kiasi cha 100 km (62 mi) kutoka mjnii mashariki mwa mji wa Istanbul, juu ya Kaskazini-magharibi mwa sehemu ya Anatolia. Kiasi cha watu 248,424 wanaishi mjini hapa.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu İzmit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.