Tofauti kati ya marekesbisho "Thriller"

Jump to navigation Jump to search
5 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
d (→‎Muziki wa video na usawa kirangi: (mabano na herufi tu))
Uchezaji wa muziki uliochezwa kwenye ''Thriller'' umekuwa utamaduni ambao mashuhuri sana ulimweunguni, umegezewa kila mahali huko [[India]] na katika majela kadhaa ya huko nchni [[Ufilipino]].<ref name="PrisonersDance">{{cite web |url=http://thewrongadvices.com/lazy-monkey/1500-prisoners-perform-thriller-dance/ |title=1500 Prisoners Perform Thriller Dance |publisher=The Wrong Advices |date=July 21, 2007 |accessdate=April 5, 2008}}</ref><ref name="Thriller music video in bollywood">{{cite web |url=http://www.tmz.com/2006/10/03/jacko-goes-bollywood/ |title=Jacko goes bollywood |publisher=TMZ.com |date=October 3, 2006 |accessdate=April 8, 2008}}</ref>
 
Kwa msanii ambaye ni mweusi kwa miaka ya 1980 kufikia kiwango hicho, mafanikio ya Jackson yalikuwa ya kipekee. Kwa mujibu wa ''The Washington Post'', ''Thriller'' imesafisha njia ya mafanikio kwa [[Waafrika-Waamerika]] wengiewengine kama vile [[Prince]].<ref name=WashPost1>{{cite news | first= Richard | last= Harrington | title= Prince & Michael Jackson: Two Paths to the Top of Pop |date=October 1988 | publisher= ''The Washington Post'' | url= http://pqasb.pqarchiver.com/washingtonpost/access/73636369.html?dids=73636369:73636369&FMT=ABS&FMTS=ABS:FT&date=Oct+9%2C+1988&author=Richard+Harrington&pub=The+Washington+Post+(pre-1997+Fulltext)&edition=&startpage=g.01&desc=Prince+%26+Michael+Jackson%3A+Two+Paths+to+the+Top+of+Pop | accessdate= May 21, 2007}}</ref> Wimbo wa "The Girl Is Mine" ulipata kete nyingi kwa kupata wapenzi wengi wa rangi tofauti kupitia redio, yaani, Wazungu na Weusi.<ref name="Christgau Thriller review">{{cite web |first=Robert |last=Christgau |url=http://www.robertchristgau.com/get_artist.php?id=932
|title=Robert Christgau: Artist 932 |publisher=Robert Christgau.com |accessdate=June 27, 2008}}</ref> Gazeti la ''Time'' lilieleza, "Jackson ni kitu kikubwa sana tangu hapo [[The Beatles]]. Yeye ni msanii pekee kwa upande wa wasanii wa kujitegemea tangu hapo alipokuwa [[Elvis Presley]]. Anaweza kuwa mwimbaji maarufu sana milele kwa upande wa waimbaji Weusi".
 
62,394

edits

Urambazaji