24 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 24)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 24 Julai ni siku ya 205 ya mwaka (ya 206 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 160.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1783 - Simon Bolivar, mwanaharakati aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania katika Amerika ya Kusini
- 1803 - Adolphe Adam, mtunzi wa muziki Mfaransa
- 1857 - Henrik Pontoppidan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1917
- 1969 - Jennifer Lopez, mwimbaji kutoka Marekani
- 1974 - Eugene Mirman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1998 - Bindi Irwin
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1129 - Shirakawa, mfalme mkuu wa Japani (1073-1087)
- 1292 - Mtakatifu Kinga wa Hungaria, malkia wa Polandi, halafu mmonaki Mfransisko
- 1862 - Martin Van Buren, Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1986 - Fritz Lipmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
- 1991 - Isaac Bashevis Singer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1978
- 2012 - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2020 - Regis Philbin
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Charbel Makhlouf, Kristina wa Bolsena, Viktorini wa Amiterno, Fantino Mzee, Eufrasia wa Thebe, Deklani, Sigolena, Boris na Gleb, Baldwino wa Rieti, Kinga wa Hungaria, Mamajusi, Yohane Boste, Yosefu Fernandez n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 24 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |