Jimbo Katoliki la Mbinga
Jimbo katoliki la Mbinga (kwa Kilatini Dioecesis Mbingaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Askofu wake ni John Chrisostom Ndimbo.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
- Maaskofu wa Mbinga
- John Chrisostom Ndimbo (since 2011)
- Emmanuel Mapunda (1986 – 2011)
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 11,400, ambapo kati ya wakazi 524,945 (2006) Wakatoliki ni 392,871 (74.8%).
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Mbinga kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |