13 Agosti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Agosti 13)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Agosti ni siku ya 225 ya mwaka (ya 226 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 140.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1099 - Uchaguzi wa Papa Paskali II
- 1521 - Jeshi la Hernan Cortez kutoka Hispania linateka mji wa Tenochtitlan (Mexiko) na kuuharibu kabisa, likiua makumi elfu ya wakazi wake
- 1960 - Jamhuri ya Afrika ya Kati inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1961 - Ukuta wa Berlin unajengwa na kugawa mji katika sehemu za Mashariki na Magharibi kwa miaka 28 ifuatayo hadi 1989
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1872 - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 1873 - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1899 - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1912 - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 1918 - Frederick Sanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1958
- 1926 - Fidel Castro, mwanamapinduzi na Rais wa Kuba
- 1956 - Koffi Olomide, mwimbaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 1967 - Amélie Nothomb, mwandishi kutoka Ubelgiji
- 1982 - Fid Q, mwana-hip hop kutoka nchini Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 662 - Mtakatifu Maksimo Muungamadini, padri mmonaki
- 1910 - Florence Nightingale, muuguzi kutoka Uingereza
- 1917 - Eduard Buchner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pontian, Hipoliti wa Roma, Kasiani wa Imola, Antioko wa Lyon, Radegunda, Maksimo Muungamadini, Vigbati, Yohane Berchmans, Benildo Romancon, Dulse Pontes n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |