1980
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1976 |
1977 |
1978 |
1979 |
1980
| 1981
| 1982
| 1983
| 1984
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1980 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 4 Januari - Greg Cipes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Januari - Xavi, mchezaji mpira kutoka Hispania
- 12 Februari - Innocent Cornel Sahani, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 12 Februari - Christina Ricci, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Machi - Kim Tae-hee, mwigizaji wa filamu kutoka Korea Kusini
- 26 Agosti - Chris Pine, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 14 Septemba - Ayo, mwimbaji kutoka Ujerumani
- 25 Septemba - T.I., mwanamuziki kutoka Marekani
- 15 Oktoba - Edgar Ngelela, msanii na mwanamuziki kutoka Tanzania
- 24 Oktoba - Lucy Komba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 22 Novemba - Carla Campbell, mwanamitindo kutoka Jamaika
- 25 Novemba - Aaron Mokoena, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
- 25 Novemba - Aleen Bailey, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
- 7 Desemba - John Terry, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 14 Desemba - Didier Zokora, mchezaji mpira kutoka Cote d'Ivoire
- 24 Desemba - Stephen Appiah, mchezaji mpira kutoka Ghana anayecheza hasa nchini Italia
- 30 Desemba - Eliza Dushku, mwigizaji filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Charlotte Seck, mwanamitindo kutoka Senegal
- Amani Temba, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 2 Februari - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 25 Machi - James Wright, mshairi kutoka Marekani
- 29 Aprili - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
- 25 Julai - Vladimir Vysotsky, msanii kutoka Urusi
- 8 Septemba - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
- 18 Septemba - Katherine Anne Porter, mwandishi kutoka Marekani
- 27 Oktoba - John Van Vleck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977
- 7 Novemba - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 24 Novemba - Herbert Agar, mwanahistoria kutoka Marekani
- 8 Desemba - John Lennon, mwanamuziki Mwingereza) aliuawa.
- 21 Desemba - Marc Connelly, mwandishi kutoka Marekani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: