Nenda kwa yaliyomo

Kim Tae-hee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kim Tae-hee

Kim Tae-hee (amezaliwa Ulsan, 29 Machi 1980) ni mwigizaji kutoka Korea Kusini.

Amecheza katika filamu mbalimbali zilizompatia umaarufu nchini.

Baadhi ya filamu zake[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kim Tae-hee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.