Ulsan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ulsan (Kikorea: 울산) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,126,879 (mwaka 2008).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 1,056.4 km².

Ulsan SK.png

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Ulsan" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ulsan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.