William Stein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Howard Stein (25 Juni 19112 Februari 1980) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mifumo na athari za protini. Mwaka wa 1972, pamoja na Christian Anfinsen na Stanford Moore alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Stein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.