14 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 14 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Desemba ni siku ya 348 ya mwaka (ya 349 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 17.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1009 - Go-Suzaku, mfalme mkuu wa Japani (1036-1045)
- 1546 - Tycho Brahe, mwanaastronomia kutoka Denmark
- 1895 - Paul Eluard, mshairi Mfaransa
- 1909 - Edward Tatum, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958
- 1922 - Nikolai Basov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964
- 1970 - Anna Maria Jopek, mwimbaji kutoka Poland
- 1980 - Didier Zokora, mchezaji mpira kutoka Cote d'Ivoire
- 1995 - Herieth Paul, mwanamitindo kutoka Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 872 - Papa Adrian II
- 1591 - Mtakatifu Yohane wa Msalaba, O.C.D., padri, mshairi na mwalimu wa Kanisa kutoka Hispania
- 1799 - George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani
- 1858 - Mtakatifu Nimattullah Kassab Al-Hardini, mmonaki padri kutoka Lebanoni
- 1953 - Marjorie Kinnan Rawlings, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1966 - Verna Felton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1984 - Vicente Aleixandre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1977
- 2013 - Peter O'Toole, mwigizaji wa filamu kutoka Eire
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane wa Msalaba, Eroni, Atne, Isidori na Dioskoro, Tirso na wenzake, Droside, Ares, Promo na Elia, Pompei wa Pavia, Nikasi, Eutropia na wenzao, Agnelo wa Napoli, Nimattullah Kassab Al-Hardini n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |