Nenda kwa yaliyomo

Vicente Aleixandre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vicente Aleixandre mnamo mwaka 1977

Vicente Aleixandre (26 Aprili 189814 Desemba 1984) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Hispania. Mwaka wa 1977 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vicente Aleixandre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.