3 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Machi 3)
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1431 - Uchaguzi wa Papa Eugenio IV
- 1845 - Florida imekuwa jimbo la 27 la Marekani.
- 1924 - Uongonzi wa Khalifa umepinduliwa na Kemal Atatürk.
Waliozaliwa [hariri]
- 1847 - Alexander Graham Bell (mgunduzi wa mawasiliano ya simu)
- 1918 - Arthur Kornberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959)
- 1957 - William Pascal Kikoti, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 561 - Papa Pelagio I
- 1605 - Papa Klementi VIII
- 1955 - Katharine Drexel, mtawa wa kike kutoka Marekani
- 1999 - Gerhard Herzberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1971