Papa Pelagio I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Pelagio I alikuwa papa kuanzia 16 Aprili, 556 hadi kifo chake tarehe 3 Machi, 561. Alimfuata Papa Vigilio.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Pelagio I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pelagio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |