11 Oktoba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Oktoba 11)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Oktoba ni siku ya 284 ya mwaka (ya 285 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 81.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1962 - Ufunguzi wa Mtaguso wa pili wa Vatikano
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1884 - Friedrich Bergius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1931
- 1885 - Francois Mauriac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1952
- 1919 - Art Blakey, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1971 - MC Lyte, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1303 - Papa Boniface VIII
- 1896 - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1919 - Karl Gjellerup, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1917
- 1963 - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 1977 - MacKinlay Kantor, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Yohane XXIII, Filipo mwinjilisti, Tarako, Probo na Androniko, Nikasi, Kwirini na wenzao, Santino wa Verdun, Sarmata, Firmino wa Uzes, Kaniko abati, Anastasi balozi, Gumari, Bruno wa Koln, Radim, Meinardi, Aleksanda Sauli, Petro Le Tuy, Maria Desolata n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |