Karl Adolph Gjellerup
Mandhari
(Elekezwa kutoka Karl Gjellerup)
Karl Adolph Gjellerup (2 Juni 1857 – 11 Oktoba 1919) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Aliandika hasa kuhusu mambo ya dini. Mwaka wa 1917, pamoja na Henrik Pontoppidan alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karl Adolph Gjellerup kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |