Nenda kwa yaliyomo

Gumari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Rumboldi akikutana na Mt. Gumari[1][2][3][4][5][6]; dirisha la kioo cha rangi la kanisa kuu la Mechelen.

Gumari (pia: Gummarus, Gommaire, Gommer au Gummery; Lier[7] , leo nchini Ubelgiji, 717 – Lierre, 11 Oktoba 774[8] hivi) alikuwa askari[9] mcha Mungu aliyejenga kikanisa karibu na msitu alipokwenda kuishi[10] hadi kifo chake baada ya kuachana na mke wake [11].

Tangu kale[12][13] anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Oktoba [14].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Mulder-Bakker, Anneke; Carasso-Kok, Marijke (1997). Gouden legenden : heiligenlevens en heiligenverering in de Nederlanden. Verloren. uk. 145. ISBN 9065502912.
  2. "Lezing over Sint-Rombout in Mechelen – Sint-Rombout: waarheid of legende? (Presentation for a 20 May 2010 lecture)" (kwa Dutch). Persdienst Aartsbisdom (Archbishopric Press Service), Mechelen / Vrienden van de Sint-Romboutskathedraal vzw. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2011. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "St Rumbold". Catholic Online. 2011. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. van Eck, Xander (2015). "The high altar of the archiepiscopal cathedral of Mechelen: St Rumbold's grand reliquary and tomb". Simiolus: Netherlands Quarterly for the History of Art. 38 (4): 213–227. ISSN 0037-5411. JSTOR 26382631.
  5. Mark van Strydonck; Anton Ervynck; Marit Vandenbruaene; Mathieu Boudin (2006). Relieken, echt of vals? (kwa Dutch). Davidsfonds, Leuven. ISBN 978-90-5826-420-6.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  6. "De relieken van Sint-Rombout" (kwa Dutch). Torens aan de Dijle vzw (Cooperation between representatives of 8 historical churches at Mechelen, and the City). 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-26. Iliwekwa mnamo 5 Julai 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  7. Horemans, Karine (1990). De legende van Gummarus Patroon van Lier (tol. la 1). Lier-Kermiscomité.
  8. Hallett, Dr Nicky (2013-04-28). Lives of Spirit: English Carmelite Self-Writing of the Early Modern Period. ISBN 9781409489641.
  9. Monks of Ramsgate. “Gummarus”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 7 May 2016
  10. Jones, Paul Anthony (2019). The Cabinet of Linguistic Curiosities: A Yearbook of Forgotten Words (kwa Kiingereza). University of Chicago Press. uk. 285. ISBN 978-0-226-64670-1.
  11. https://www.santiebeati.it/dettaglio/74020
  12. Gummarusfeesten in Lier kuleuven.be, article in Dutch
  13. Parochiekerk Sint-Gummarus onroerenderfgoed.be, article in Dutch
  14. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.