Mto Ugalla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Ugalla unapatikana Tanzania magharibi.

Ni tawimto muhimu wa mto Malagarasi, mto wa pili nchini kwa urefu ambao unaishia katika ziwa Tanganyika.

Kwa jina lake katika mkoa wa Tabora kuna hifadhi ya misitu na mbuga ya akiba.