Mto Musi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Musi ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.

Ni tawimto wa kaskazini wa mto Sigi ambao hatimaye unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.