Mto Mkuzu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Mkuzu (au Mkusu) ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania. Unatiririka upande wa kaskazini mashariki.[1][2] Mto unapitia pia kijiji cha Kifungilo.[3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Briggs, Philip (1 October 2009). Tanzania: With Zanzibar, Pemba & Mafia. Bradt Travel Guides, 232. ISBN 978-1-84162-288-0. Retrieved on 31 March 2012. 
  2. Finke, Jens (26 November 2002). Rough guide to Tanzania. Rough Guides, 351. ISBN 978-1-85828-783-6. Retrieved on 31 March 2012. 
  3. (2004) Koleopterologische Rundschau. Die Gesellschaft, 379. Retrieved on 31 March 2012.