Mto Mkulumuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Mkulumuzi ni kati ya mito ya mkoa wa Tanga (Tanzania Mashariki). Ni tawimto la mto Pangani[1] ambao maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Pangani Basin. Pangani Basin Water Board. Iliwekwa mnamo 9 October 2011.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]