Nenda kwa yaliyomo

Mto Mbalageti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mbalageti ni kati ya mito ya mkoa wa Simiyu (Tanzania Kaskazini-Magharibi).

Maji yake yanaelekea ziwa Viktoria, mto Nile na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]