Mto Kilakala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kilakala unapatikana katika Mkoa wa Morogoro na ndio ulioipa kata ya Kilakala jina lake.

Maji ya mto huo, unaopitia katikati ya mji wa Morogoro, yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Wami na mto Ruvu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]