Kilakala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa makala ya Kilakala ya Dar es Salaam, tazama: Kilakala (Temeke)


Kata ya Kilakala
Majiranukta: 6°49′12″S 37°38′36″E / 6.82000°S 37.64333°E / -6.82000; 37.64333
Nchi Tanzania
Mkoa Morogoro
Wilaya Morogoro Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 13,800

Kilakala ni jina la kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye postikodi namba 67110[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 18,345 waishio humo.[2]

Changamoto za maji katika kata hii[hariri | hariri chanzo]

Katika kata hii ya Kilakala moja kati ya vikwazo/changamoto ni upungufu wa maji. Tatizo hili bado halijatatuliwa kwa sababu ya wakazi wa kata hiyo wanaoendelea kuharibu vyanzo vya maji. Kitu kikubwa kinachohitajika ni ulinzi dhidi ya wale wanaoharibu vyanzo vya maji.

Michezo[hariri | hariri chanzo]

Katika sekta hii ya michezo katika eneo la Kilakala bado hali hairidhishi kwa hiyo wanahitajika walimu wenye ujuzi wa hali ya juu ili kuendeleza Taifa katika sekta hii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Morogoro Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Bigwa | Boma | Chamwino | Kauzeni | Kichangani | Kihonda | Kihonda Maghorofani | Kilakala | Kingo | Kingolwira | Kiwanja cha Ndege | Luhungo | Lukobe | Mafiga | Mafisa | Magadu | Mazimbu | Mbuyuni | Mindu | Mji Mkuu | Mji Mpya | Mkundi | Mlimani | Mwembesongo | Mzinga | Sabasaba | Sultan Area | Tungi | Uwanja wa Taifa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilakala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.