Bigwa
Kata ya Bigwa | |
Majiranukta: 6°49′12″S 37°39′36″E / 6.82000°S 37.66000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Morogoro |
Wilaya | Morogoro Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 16,623 |
Bigwa ni kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67111.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 16,623 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,149 waishio humo. [2]
Changamoto ya maji
[hariri | hariri chanzo]Kata hii inakabiliwa na changamoto hii kwa sababu maji yanayopatikana hapo ni majitaka na si salama. Tatizo hili linaweza kutatuliwa pale tu ambapo watu wataamua kuwa makini na utupaji takataka ovyo katika vyanzo vilivyopo katika kata.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. MOROGORO MJINI -MOROGORO
Kata za Wilaya ya Morogoro Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | ||
---|---|---|
Bigwa | Boma | Chamwino | Kauzeni | Kichangani | Kihonda | Kihonda Maghorofani | Kilakala | Kingo | Kingolwira | Kiwanja cha Ndege | Luhungo | Lukobe | Mafiga | Mafisa | Magadu | Mazimbu | Mbuyuni | Mindu | Mji Mkuu | Mji Mpya | Mkundi | Mlimani | Mwembesongo | Mzinga | Sabasaba | Sultan Area | Tungi | Uwanja wa Taifa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bigwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |