Mto Kihuhui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kihuhui ni mto wa mkoa wa Tanga, Tanzania Kaskazini Mashariki.

Ni tawimto wa kusini wa mto Sigi ambao hatimaye unaingia katika Bahari Hindi kilometa 40 kaskazini kwa mji wa Tanga.