Mto Bangala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Bangala ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania. Unatiririka upande wa kaskazini mashariki na kuingia katika mto Mkuzu.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Finke, Jens (26 November 2002). Rough guide to Tanzania. Rough Guides, 351. ISBN 978-1-85828-783-6. Retrieved on 31 March 2012.