5 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 5)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Machi ni siku ya 64 ya mwaka (ya 65 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 301.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1923 - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1937 - Olusegun Obasanjo, Rais wa Nigeria miaka 1976-1979 na 1999-2007
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 254 - Mtakatifu Papa Lucius I
- 1734 - Mtakatifu Yohane Yosefu wa Msalaba, padre Mfransisko kutoka Italia
- 1941 - Ludwig Quidde, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927
- 1953 - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu mwaka 1924
- 1971 - Allan Nevins, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teofilo wa Kaisarea, Kononi mtunzabustani, Papa Lucius I, Fokas wa Sinope, Adriano wa Kaisarea, Gerasimo wa Yordani, Kieran wa Saighir, Virjili wa Arles, Yohane Yosefu wa Msalaba n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |