16 Machi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Machi 16)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Machi ni siku ya 75 ya mwaka (ya 76 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 290.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1751 - James Madison, Rais wa Marekani (1809-1817)
- 1800 - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1839 - Sully Prudhomme, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1901
- 1918 - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 1935 - Juca de Oliveira, mwigizaji wa filamu kutoka Brazil
- 1975 - Sienna Guillory, mwigizaji wa filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 455 - Valentinian III, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (tangu mwaka 425)
- 1021 - Mtakatifu Heribert wa Cologne, askofu mkuu wa Cologne (Ujerumani) na Chansella wa Dola Takatifu la Roma
- 1914 - Charles-Albert Gobat, mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902
- 1935 - John Macleod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923
- 1937 - Austen Chamberlain, mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1925
- 1940 - Selma Lagerlof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1909
- 1995 - Albert Hackett, mwandishi kutoka Marekani
- 1998 - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hilari na Tasyani, Papa wa Seleukia, Juliani wa Ainvarza, Eusebia wa Hamay, Heribert wa Cologne, Yohane wa Brebeuf, Yosefu Gabrieli wa Rozari n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |