Austen Chamberlain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Austen Chamberlain

Austen Chamberlain (16 Oktoba 186316 Machi 1937) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uingereza. Kuanzia 1924 hadi 1929 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mwaka wa 1925, pamoja na Charles Dawes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa ajili ya kazi yake ya kupitisha Maafikiano ya Lokarno.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Austen Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.