Selma Lagerlof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Selma Lagerlof
Tuzo Nobel.png

Selma Lagerlöf (20 Novemba 185816 Machi 1940) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Sweden. Aliandika hasa riwaya. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi akiwa mwanamke wa kwanza kupokea tuzo hiyo.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selma Lagerlof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.