Nenda kwa yaliyomo

Frederick Reines

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frederick Reines

Frederick Reines (16 Machi 1918 - 26 Agosti 1998) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua nyutrino. Mwaka wa 1995, pamoja na Martin Lewis Perl alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Reines kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.