Rukia yaliyomo

Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

50 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
No edit summary
Marshall, Palau na Mikronesia vyote vina mikataba ya ushirikiano na Marekani.
 
== Athira ya hali ya kisheria kwa maisha ya koloni ==
Maeneo ya kudhaminiwa ya B) yalitendewa kama kolonimakoloni zaya kawaida. Lakini masharti ya udhamini yalikuwa muhimu kwa maazimio ya serikali ya kikoloni hasa baada ya 1946.
 
Katika [[Tanganyika]] upinzani wa Umoja wa Mataifa mwaka 1946 ulizuia mipango ya kuunganisha Tanganyika na Kenya uliyopingwa wakati ule na wenyeji wengi kwa sababu Kenya ilijadiliwa kuwa koloni yaLa [[walowezi]] wazungu[[Wazungu]] hasa.
 
Vilevile maswali ya kamati ya UM yalikuwa na athira katika swalisuala la [[ardhi]] ya Waafrika na kupanushakupanua ardhi mkononimikononi mwa walowezi Wazungu. Masharti ya udhamini yalidai ya kwamba Uingereza kama mlezi utatunza [[ardhi]] ya wazalendo. Hata hivyo Uingereza ulitumia sheria iliyoangalia ardhi isiyolimwa kama [[mali]] ya serikali iliyoweza kukabidhiwa kwa walowezi. Sheria hii haikuheshimu utaratibu wa [[kilimo]] cha kijadiki[[jadi]] ambako mashambama[[shamba]] yalihamishwa kila baada ya miaka kadhaa. Kwa njia ya sheria hizihizo serikali za kikoloni zilitwaa sehemu kubwa ya ardhi ya kimapokeo ya vijiji. Kwa hiyo Uingereza ilikuwa na njia za kupita masharti ya udhamini.
 
Mwaka [[1951]] serikali ya kikoloni iliwafukuza wakazi wa kijiji cha [[Engare Nanyuki]] katika nchi ya [[Wameru]] kwa sababu ilipanga kuanzisha mashamba kwa walowezi. Wameru walituma wawakilishi [[New York]] waliolalamikakulalamika mbele ya Umoja wa Mataifa. Sehemu kubwa ya wanachama wa UM walisimama upande wa Wameru; upinzani huuhuo ulikuwa na athari muhimu katika maazimio ya Waingereza kutopanushakutopanua mno mashamba ya wazunguWazungu katika Tanganyika.
 
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]