Uhuru wa dhamiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhuru wa dhamiri ni uhuru ambao wengi wanakubali kwamba ni mojawapo kati ya haki za msingi za binadamu.

Dhamiri ni kiini cha mtu ambamo anachukua maamuzi yake mwenyewe kuhusu maadili ambayo ayafuate katika nafasi fulani.

Ndiyo sababu hatakiwi kulazimishwa kwenda kinyume cha moyo unavyomtuma, hata kama wengine wengi wanafanya tofauti.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • D.V. Coornhert, Synod on the Freedom of Conscience: A Thorough Examination during the Gathering Held in the Year 1582 in the City of Freetown English translation
  • Richard Joseph Cooke, Freedom of thought in religious teaching (1913)
  • Eugene J. Cooper, "Man's Basic Freedom and Freedom of Conscience in the Bible : Reflections on 1 Corinthians 8-10", Irish Theological Quarterly Dec 1975
  • George Botterill and Peter Carruthers, 'The Philosophy of Psychology', Cambridge University Press (1999), p3
  • The Hon. Sir John Laws, 'The Limitations of Human Rights', [1998] P. L. Summer, Sweet & Maxwell and Contributors, p260
  • Voltaire (1954). "Liberté de penser" (in French). Dictionnaire philosophique. Classiques Garnier. Paris: Éditions Garnier. pp. 277–281.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: