Syria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Robot: ar:سوريا is a featured article
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: or:ସିରିଆ
Mstari 213: Mstari 213:
[[nv:Sííwiya]]
[[nv:Sííwiya]]
[[oc:Siria]]
[[oc:Siria]]
[[or:ସିରିଆ]]
[[os:Сири]]
[[os:Сири]]
[[pa:ਸੀਰਿਆ]]
[[pa:ਸੀਰਿਆ]]

Pitio la 18:07, 3 Februari 2012

Syria
Ramani ya Syria

Syria (Kiar.: سوريا au سورية ) ni nchi ya Mashariki ya Kati au Asia ya Magharibi. Imepakana na Lebanon, Israel, Yordani, Iraq na Uturuki. Kuna pwani la Mediteranea. Nchi inatajwa pia kwa jina la "Shamu" katika maandiko ya Kiswahili ingawa neno hili lamaanisha zaidi eneo la kihistoria ambayo ni kubwa zaidi kuliko Syria ya leo.

Syria ya kisasa imepatikana kama nchi ya kujitawala tangu 1936 kwa ngazi mbalimbali hadi kukamilisha uhuru wake 1946. Kati ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia na uhuru wake ule ilikuwa kama nchi lindwa chini ya Ufaransa kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa, na kabla ya 1918 ilikuwa sehemu ya Dola la Uturuki. Katika nyakati za kale ilikuwa kitovu cha dola la kwanza la Waarabu na mji mkuu Dameski ilikuwa makao ya makhalifa Wamuawiya.

Syria imetawaliwa na chama cha Baath na rais ni Bashar al-Assad.

Syria kiutawala imegawiwa kwa mikoa au muhafazat 14:

Wasyria walio wengi ni Waislamu Wasunni lakini kuna pia 10% Wakristo. Wayahudi wamekuwa wachache sana kutokana na ugomvi kati ya Waarabu na Israel. Waislamu walio wengi ni Wasunni. Kuna pia wafuasi wengi kidogo cha aina ya Washia wanaoitwa "Waalawi".

Lugha ya Kitaifa ni Kiarabu. Kuna pia maeneo penye Wakurdi, Waturuki, Waaramu na wengine.

Syria ilishiriki katika vita za Waarabu dhidi ya ISrael. Sehemu ya Mkoa wa Qunaytrah zimekaliwa na Israel tangu 1967.

Viungo vya nje

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Syria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA