Israel : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: av:Гlизраил |
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: mzn:اسرائیل |
||
Mstari 199: | Mstari 199: | ||
[[mwl:Eisrael]] |
[[mwl:Eisrael]] |
||
[[my:အစ္စရေးနိုင်ငံ]] |
[[my:အစ္စရေးနိုင်ငံ]] |
||
[[mzn:اسرائیل]] |
|||
[[na:Iteraer]] |
[[na:Iteraer]] |
||
[[nah:Israel]] |
[[nah:Israel]] |
Pitio la 12:51, 25 Januari 2012
Kwa maana mbalimbali ya jina Israeli katika Biblia tazama Israeli (maana)
Israel |
---|
Israel (Kiebrania: מדינת ישראל - Medinat Yisra'el; Kar.: دَوْلَةْ إِسْرَائِيل - dawlat Isrā'īl) ni nchi ya Mashariki ya Kati kwenye mwambao wa mashariki wa Mediteranea. Imepakana na Lebanon, Syria, Yordani, Misri na maeneo chini ya mamlaka ya serikali ya Palestina.
Nchi ya kisasa ilianzishwa 14 Mei 1948 lakini kuna historia ndefu. Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu 1950 lakini nchi nyingi hazikubali hivyo kwa sababu hali ya sheria ya kimataifa juu ya Yerusalemu haieleweki.
Takriban 80% za wakazi ni Wayahudi na 20 % ni Waarabu ambao ni Waislamu na Wakristo.
Lugha rasmi ni Kiebrania na Kiarabu.
Viungo vya nje
- (Kiingereza) na (Kiarabu) (Kiebrania) Tovuti ya serikali
- Israel blog
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Israel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Israel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |
Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA