Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Mtwara"

Jump to navigation Jump to search
1 byte added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
d
[[Image:Tanzania_Mtwara.png|right|175px|Map of the Mtwara Region]]
 
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la kusini-mashariki kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa Magharibi. Mpaka wa kusini ni [[Mto wa Ruvuma]].
 
Ukiwa na 16,720 km² Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na [[Kilimanjaro]].

Urambazaji