Kugeuka sura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kugeuka sura katika Injili ya Marko, 1300.
Mchoro wa karne ya 12.
Mchoro wa Alexandr Ivanov, 1824.
Kanisa la Kugeuka Sura juu ya Mlima Tabor, Israel, unaohesabiwa na wengi kuwa mahali pa tukio.
Kugeuka sura kadiri ya Lodovico Carracci, 1594: wanaoonekana pamoja na Yesu ni Eliya, Musa na Mitume wa Yesu watatu.

Yesu kugeuka sura ni sikukuu ya liturujia inayoadhimisha fumbo la maisha ya Yesu linalosimuliwa katika Agano Jipya[1], hususan katika Injili Ndugu (Math 17:1–9, Mk 9:2-8, Lk 9:28–36) na katika 2 Pet 1:16–18[1].

Humo tunasoma kwamba Yesu aliongozana na wanafunzi wake watatu, Mtume Petro, Yakobo Mkubwa na mdogo wake Mtume Yohane, hadi mlima kwa lengo la kusali faraghani. Huko usiku alianza kung'aa akatokewa na Musa na Eliya waliozungumza naye kuhusu kufariki kwake Yerusalemu.

Kubwa zaidi, Mungu alimshuhudia kuwa Mwana wake mpenzi akawahimiza wanafunzi kumsikiliza.[1]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Michoro[hariri | hariri chanzo]

Picha takatifu[hariri | hariri chanzo]

Makanisa na monasteri[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Transfiguration by Dorothy A. Lee 2005 ISBN 978-0-8264-7595-4 pages 21-30

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: