Yaroslavl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yaroslavl

Yaroslavl (Kirusi: Ярославль) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 613.088. Iko katika mkoa wa Yaroslavl Oblast.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yaroslavl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.