Nenda kwa yaliyomo

Ryazan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa kuu la Ryazan
Ryazan

Ryazan (Kirusi: Рязань) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 521.560. Iko katika mkoa wa Ryazan Oblast.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ryazan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.