Nenda kwa yaliyomo

Samara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samara

Samara (Kirusi: Самара) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 1,157,880. Iko katika mkoa wa Samara Oblast.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Samara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.