Vladikavkaz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vladikavkaz

Vladikavkaz (Kirusi: Владикавказ) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 325.137. Iko katika mkoa wa Kaskazi Ossetia-Alania.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vladikavkaz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.