Sterlitamak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sterlitamak

Sterlitamak (kwa Kirusi: Стерлитамак) ni mji wa Urusi. Una wakazi 264.362. Uko katika mkoa wa Bashkortostan.

Mzalishaji mkubwa wa kemikali katika mji huo ni BSK, Kampuni ya Bashkir Soda.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sterlitamak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.