Tver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa mji wa Tver

Tver (Kirusi: Тверь) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 408.903. Iko katika mkoa wa Tver Oblast.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.