Birobijan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Birobijan

Birobijan (Kirusi: Биробиджан) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 76.648. Iko katika mkoa wa Oblast huru ya Kiyahudi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Birobijan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.