Tula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya Tula

Tula (Kirusi: Тула) ni mji wa Urusi ya kati mwenye wakazi manmo 509,000 uliopo kilimita 200 kusini ya Moskva. Iko katika mkoa wa Tula Oblast.

Leo hii ni mji wa viwanda hasa vinavyotengeza silaha na pia machine mbalimbali.

Tula ina historia ndefu ya miaka 850 ikatajwa mara ya kwanza katika hati ya mwaka 1146.

Kuna majengo ya kihistoria kama makanisa na boma la Kremlin yaliyodumu hadi leo.

Watalii wanaotembelea Tula wanaelekea Yasnaya Polyana kilomita 14 upande wa kusini alikoishi mwandishi mashuhuri Lev Tolstoy aliyezikwa hapa pia.

Picha za Tula[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: