Kaliningrad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaliningrad

Kaliningrad (Kirusi: Калининград) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 430.003. Hapa iko makao makuu ya mkoa wa Kaliningrad Oblast.

Hadi 1945 Kaliningrad ilikuwa mji wa Kijerumani uliojulikana kama Königsberg. 1945 kwenye mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia wakazi Wajerumani walikimbia au walifukuzwa na wakazi wapya walipelekwa hapa kutoka mikoa mengine ya Urusi.

2010 mji ulikuwa na wakazi 431,902.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Russia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kaliningrad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.